Judul : AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST
link : AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST
AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST
Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18
JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
REMUNERATION: Salary Scale TGS.E
Login to Apply
Date Published: 2020-01-04
Application Deadline: 2020-01-18
JOB SUMMARY:
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
· Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela.
· Kuandaa michoro ya Mipangomiji.
· Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji.
· Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi.
· Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja.
· Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.
Login to Apply
Such is the article AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST
That's an article AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST this time, hopefully it can benefit you all. well, see you in other article postings.
You are now reading the article AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST with the link address https://americanworkerslooking.blogspot.com/2020/01/afisa-mipango-miji-daraja-la-ii-town.html
0 Response to "AFISA MIPANGO MIJI DARAJA LA II (TOWN PLANNER), - 1 POST"
Post a Comment