Judul : AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST
link : AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST
AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST
Date Published: 2018-11-23
Application Deadline: 2018-12-07
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i. Kuandaa, kuandika na kufanya majaribio ya programu (Plan, codeand
test program), Kusahihisha programu (Debug program);
ii. Kuweka na kuhakikisha usalama wa programu (Incorporate security
setting into program);
iii. Kushirikiana na wadau wengine katika kutengeneza programu
mbalimbali (Corporate with other software developers); na
iv.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake wa kazi
zinazoendana na sifa na fani yake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Mhitimu wa Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari.
Wenye sifa zilizoorodheshwa hapa chini watafikiriwa kwanza (added advantage): Web Application development framework (ASP .Net (C#), Laravel, Angulajs, angular material, Bootstrap, Node), System version control (Git), Database Mangement systems (MySQL, SQL Server, Postre sql), Mobile Application development (Android), Web APIs
REMUNERATION: Salary Scale TGS E
APPLICATIONS
Login to Apply
Such is the article AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST
That's an article AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST this time, hopefully it can benefit you all. well, see you in other article postings.
You are now reading the article AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST with the link address https://americanworkerslooking.blogspot.com/2018/11/afisa-tehama-ii-fani-ya-utengenezaji.html
0 Response to "AFISA TEHAMA II - FANI YA UTENGENEZAJI PROGRAMU ZA TEHAMA (COMPUTER PROGRAMMERS ). - 25 POST"
Post a Comment