TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA.

TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA. Hello friend AMERICAN WORKERS LOOKING FOR JOBS, In the article you read this time with the title TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA., we have prepared this article well for you to read and take information in it. hopefully the contents of the post Article bank, Article contracting, Article health, Article lecturer, Article manufacturing, Article marketing, Article property, Article public, Article teachers, Article telecommunications,what we write can you understand. okay, happy reading.

Judul : TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA.
link : TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA.

Baca juga


TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA.

 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi waliofanya usaili wa mchujo kwa nafasi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa matokeo ya usaili huo yanatarajiwa kutolewa katika kipindi kisichozidi siku kumi (10) kuanzia siku ya tangazo hili.

Amesema kuwa kutokana na muitikio mkubwa wa waombaji kazi waliojitokeza kwenye usaili huo, kwa sasa zoezi linaloendelea ni kusahihisha mitihani hiyo ambayo inatarajiwa kukamilika ndani ya muda huo. Ratiba kamili ya usaili wa ana kwa ana (oral Interview) kwa kila kada itatolewa pamoja na majina ya waliofaulu usaili wa mchujo.

Aidha, amesisitiza waombaji kazi wote waliofanya usaili huo kuendelea kujiandaa kwa ajili ya usaili unaofuata kwa wale watakaochaguliwa, ili kujiweka katika nafasi ya kufanya vizuri kutokana na ujuzi na weledi walionao katika taaluma zao na hatimae kuwa miongoni mwa watakaofanikiwa kuajiriwa katika Utumishi wa Umma kupitia mamlaka hiyo.

Amewataka wasailiwa watakaoitwa kwenye usaili wa mahojiano watatakiwa kuja na vyeti vyao halisi kuanzia cheti cha kuzaliwa, cheti cha kidato cha nne, kidato cha sita, Astashahada, Stashahada ya juu, Shahada na kuendelea kulingana na kiwango cha elimu waliyonayo. Aidha kwa wale waliosoma nje ya Nchi wafike na cheti cha uhakiki toka Mamlaka zenye dhamana ambazo ni TCU, NACTE na NECTA.
Sambamba na hayo, anawakumbusha wasailiwa hao kuendelea kutunza namba zao za usaili kwa kuwa matokeo yote yatatolewa kupitia namba walizopewa wakati wa usaili.

Usaili huo wa mchujo ulifanyika kwa muda wa siku tatu  katika kanda kumi ambazo ni Zanzibar, Mbeya, Dodoma,  Arusha, Mwanza, Morogoro, Mtwara, Tabora, Iringa na Dar es Salaam kulikokuwa na vituo viwili vya usaili ambavyo ni Chuo cha Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na  Chuo cha Kumbukumbu ya  Mwalimu Nyerere, Kigamboni.

 Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma tarehe 6 Septemba, 2017.


Such is the article TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA.

That's an article TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA. this time, hopefully it can benefit you all. well, see you in other article postings.

You are now reading the article TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA. with the link address https://americanworkerslooking.blogspot.com/2017/09/tangazo-kwa-waombaji-kazi-waliofanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANGAZO KWA WAOMBAJI KAZI WALIOFANYA USAILI WA NAFASI ZA TRA."

Post a Comment