Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hello friend AMERICAN WORKERS LOOKING FOR JOBS, In the article you read this time with the title Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, we have prepared this article well for you to read and take information in it. hopefully the contents of the post Article bank, Article contracting, Article health, Article lecturer, Article manufacturing, Article marketing, Article property, Article public, Article teachers, Article telecommunications,what we write can you understand. okay, happy reading.

Judul : Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
link : Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Baca juga


Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Application deadline 2017-08-11
Location
Dodoma Mjini Dodoma
Description
Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kibali cha ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, inatangaza nafasi za kazi 3,152 kwa wahitimu wa kada za Afya chini. Wizara ina jukumu la kuwapangia vituo vya kazi waombaji wenye sifa kwa mujibu wa Waraka wa Maendeleo ua Utumishi ya Kada chini ya Wizara ya Afya.
Sifa za Mwombaji:
  1. Awe ni raia wa Tanzania
  2. Awe na umri usiozidi miaka 45
  3. Asiwe mwajiriwa wa Seriakli au asiwe mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na serikali
  4. Asiwe ameshawai kufanya kazi serikalini na kuacha kazi
Maombi yote yaambatanishwe na:
  1. Nakala ya Cheti cha Taaluma
  2. Nakala ya Cheti cha Kidato cha nne/sita
  3. Maelezo binafsi (CV)
  4. Picha (Passport size mbili) za hivi karibuni
  5. Nakala ya Cheti cha usajili au leseni ya kufanya kazi ya Taaluma husika.
  6. Nakala ya cheti cha kuzaliwa
Nakala za vyeti vya Taaluma na vyeti vya kidato cha nne/sita vithibitishwe na Hakimu au Wakili

APPLICATION
Wahitimu wote wa kada za Afya zilizotajwa hapo juu mnaombwa kutuma moambi yenu kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo na si vinginevyo:
Katibu Mkuu (Afya),
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Chuo Kikuu cha Dodoma,
Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii,
Jengo Na.11,
S.L.P. 743,
40478 DODOMA
Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu: www.moh.go.tz


Such is the article Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

That's an article Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto this time, hopefully it can benefit you all. well, see you in other article postings.

You are now reading the article Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto with the link address https://americanworkerslooking.blogspot.com/2017/07/nutritionist-ii-at-wizara-ya-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Nutritionist II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto"

Post a Comment